Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tumepiga hatua dhidi ya ukeketaji lakini utamaduni ni kikwazo: Tanzania

Tumepiga hatua dhidi ya ukeketaji lakini utamaduni ni kikwazo: Tanzania

Miongoni mwa mijadala iliyofanyika leo ikiwa ni sehemu ya mkutano wa 60 wa kamisheni ya hali ya wanawake duniani CSW60 jijini New York, umehusu vita dhidi ya ukeketaji ambapo wawakilishi wa nchi mbalimbali wameeleza mikakati na mbinu wanazotumia katika kutokomeza vitendo hivyo.

Kati ya waliowasilisha mada leo ni waziri wa afya, maendeleo ya jamii,jinsia wazee na watoto wa Tanzania Ummy Mwalimu ambaye ameimabia idhaa hii kile kinachofanywa nchini mwake katika kukabiliana na ukeketaji.

(SAUTI MWALIMU)

Amesema changamoto kubwa katika vita hii ni.

(SAUTI MWALIMU)