Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Licha ya vikwazo vya ulemavu wanawake wajikomboa kiuchumi Tanzania

Licha ya vikwazo vya ulemavu wanawake wajikomboa kiuchumi Tanzania

Nchini Tanzania harakati za wanawake kujikwamua kiuchumi zimechukua sura mpya baada ya wanawake wenye ulemavu kuanzisha kikundi cha kiuchumi ambacho wanakitumia kukomboa wanachama.

Ungana na Doto Bulendu kutoka wa redio washirika redio SAUT ya Mwanza Tanzania katika makala ifuatayo, ikiwa ni mfululizo wa makala za kuelekea siku ya wanawake duniani Machi nane.