Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Licha ya uharibifu, wakazi Syria waanza kurejea makwao

Licha ya uharibifu, wakazi Syria waanza kurejea makwao

Mjini Homs nchini Syria, kiasi kikubwa cha majengo na nyumba kimeharibika kwa sababu ya mashambulizi ya makombora.

Ukarabati unatarajiwa kugharimu mabilioni ya dola.

Lakini, baada ya mapigano makali kuisha mwaka 2014, watu wameanza pole pole kurudi makwao, wakiishi kwenye magofi ya nyumba zao.

Ungana na Priscilla Lecomte kwenye makala ifuatayo.