UNHCR Burundi yazungumzia uamuzi wa Rwanda kuwarejesha wakimbizi

UNHCR Burundi yazungumzia uamuzi wa Rwanda kuwarejesha wakimbizi

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Burundi limesema limepokea na kufikisha rasmi maamuzi ya serikali ya Rwanda ya kuwaondoa wakimbizi wa Burundi walioko nchini humo kwa sababu za kiusalama.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii, Mwakilishi Mkazi wa UNHCR nchini Burundi Abel Mbilinyi amesema mazungumzo yanaendelea baina ya wadau wote wakiwamo nchi husika kuhusu suala hilo na akasisitiza athari za uamuzi huo.

(Sauti ya Bwana Mbilinyi)

Hata hivyo Bwana Mbilinyi amesema anafarijika kwa kuwa.

(Sauti ya Bwana Mbilinyi)