Redio hukwamua watu katika majanga Burundi
Nchini Burundi redio inatajwa kuwa chombo muhimu cha mawasiliano wakati wa majanga, mathalani wakati wa mafuriko ambayo hivi karibuni pia yameikumba nchi hiyo.
Mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadhani Kibuga katika makala ifutayo anamulika kazi ya redio wakati wa kukwamua wananchi majangani nchini humo. Ungana naye.