Skip to main content

Vita dhidi ya ukeketaji itafanikiwa zaidi wanaume wakihusishwa: Manusura Keziah

Vita dhidi ya ukeketaji itafanikiwa zaidi wanaume wakihusishwa: Manusura Keziah

Mwanaharakati na manusura wa mila potofu ya ukeketaji Keziah Oseko kutoka Kenya amesema mabadiliko ya mila hii iliyo kinyume na haki za bianadamu yanawezekana zaidi kwa kuhusisha jamii nzima hususan wanaume.

Bi Keziah ambaye amekeketwa akiwa na umri wa miaka minane ameiambia idhaa hii katika mahojiano maalum kuwa wasichana wanapaswa kusimama kidete na kutoa ujumbe kwa jamii wa kukomesha vitendo hivyo, lakini akasisitiza kuwa wanaume ni muhimu pia kushiriki kwani.

(SAUTI KEZIAH)

Kadhalika mwanaharakati huyo amesema kile anachotamani kifanywe na serikali za Afrika hususani Kenya

(SAUTI KEZIAH)