Skip to main content

Moto kikwazo katika utunzaji mazingira

Moto kikwazo katika utunzaji mazingira

Moto ni tishio katika utunzaji wa mazingira na hivyo pia waweza kufanyika kikwazo katika jitihada za makabiliano dhidi ya changamoto za mabadiliko ya tabianchi.

Nchini Uganda John Kibego anasimulia jinsi moto unavyotahadharisha maisha ya uoto asili hatua inayoweza pia kusababisha umasikini na njaa. Ungana naye katika makala ifuatayo.