Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Dini yaelezwa kuwa kichocheo cha kutimiza SDGs

Dini yaelezwa kuwa kichocheo cha kutimiza SDGs

Taasisi za kidini zina nafasi timilifu katika kuchangia utekelezaji wa malengo ya maendeleo  endelevu SDGs na katika kuhakikisha utulivu miongoni mwa jamii amesema mmoja wa washiriki katika mkutano  kuhusu muingiliano wa imani na maendeleo.

Katika mahojiano maaluma na idhaa hii Sarah Mduma kutoka shirika la kikatoliki Grail Tanzania amesema taasisi za dini zinaweza kupandikiza mbegu ya chachu ya kuwezesha utekelezaji wa SDGs.

(SAUTI SARAH)

Kadhalika nafasi ya mwanamke kupitia tasisi ya dini imemulikwa.

(SAUTI SARAH)