Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Dansi ya Tchopa ni utamaduni muhimu miongoni mwa kabila la Lhomwe, Malawi

Dansi ya Tchopa ni utamaduni muhimu miongoni mwa kabila la Lhomwe, Malawi

Dansi ya Tchopa ni utamduni unaopatikana miongoni mwa watu wa Lhomwe wanaoishi Kusini mwa Malawi na ni moja ya tamaduni ambazo zimeorodheshwa katika orodha ya tamaduni za dunia na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO.

Lengo kuu ni kuhakikisha kwamba tamaduni hizi zinalindwa na umuhimu wake kutambulika na  kizazi hiki na kijacho.

Katika makala hii Flora Nducha anatujuza mengi kuhusu dansi hii , ungana naye.