Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wajumbe wa Baraza la Usalama wakutana na Rais Nkurunziza

Wajumbe wa Baraza la Usalama wakutana na Rais Nkurunziza

Nchini Burundi, wajumbe wa Baraza la usalama walioanza ziara yao jana leo wameihitimisha baada ya kuwa na mazungumzo na pande mbali mbali akiwemo Rais Pierre Nkurunziza, vikundi vya kiraia, vyama vya siasa na spika wa bunge la nchi hiyo. Muda mfupi uliopita nimezungumza na mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadhani Kibuga kufahamu yaliyojiri.

(Kibuga package)