Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uimarishaji sekta ya teknolojia ni muhimu katika kufanikisha SDGs:UNCTAD

Uimarishaji sekta ya teknolojia ni muhimu katika kufanikisha SDGs:UNCTAD

Mataifa ya Afrika yawekeze katika sekta ya teknolojia ya digitali ili yaweze kufanikisha ajenda ya mwaka 2030, huo ni ujumbe wa Katibu Mkuu wa Kamati ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo, UNCTAD, Mukhisa Kituyi kwa mkutano wa jukwaa la uchumi huko Davos, Uswisi.

Katika mahojiano maalum na Idhaa ya hii, Dkt. Kituyi amesema kuwekeza katika sekta hiyo kutaimarisha maisha ya wananchi kwani wataweza kupata habari za soko na mwelekeo wa uchumi. Hata hivyo ametaja changamoto, kwanza ni

(Sauti ya Dkt. Kituyi)