Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

M-Pesa yabadilisha maisha ya watu Kenya

M-Pesa yabadilisha maisha ya watu Kenya

Nchini Kenya mfumo wa M-Pesa unaowezesha kufanya malipo kupitia simu za mkononi umeenea nchini kote, Benki ya Dunia ikikadiria kwamba hivi sasa umeanza kutumiwa na asilimia 80 ya watu nchini humo, kwa kipindi cha miaka minne tangu tu.

Kuanzia mwuzaji mitumba hadi mashirika ya kimataifa, wote wanatumia mfumo huo ambao unachangia pakubwa katika ukuaji wa uchumi na unaraisisha maisha ya watu.

Ungana na Priscilla Lecomte kwenye makala hii