Skip to main content

Nchi zinazopokea wahamiaji ziwalinde dhidi ya ubaguzi:Ruteere

Nchi zinazopokea wahamiaji ziwalinde dhidi ya ubaguzi:Ruteere

Mtaalamu Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu aina za kisasa za ubaguzi Mutuma Ruteere amesema nchi zinazopokea wahamiaji zihakikishe wanajumuishwa katika jamii wanakosaka hifadhi hususan wakati huu ambako kumeshuhudiwa wimbi kubwa la wahamiaji kuelekea barani Ulaya.

Akizungumza katika mahojiano maalum na Idhaa hii Bwana Ruteere amesema hatua hiyo ni muhmu kwani uwepo wao ugenini huenda ni wa muda mfupi au mrefu kwa hiyo

(sauti ya Ruteere)

Ametaja na wajibu wa wahamiaji akisema wanapaswa..

(Sauti ya Ruteere)