Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Afrika inatathimini matokeo ya mkataba wa COP21: Muyungi

Afrika inatathimini matokeo ya mkataba wa COP21: Muyungi

Mjumbe wa kamati ya wataalamu wa Afrika wanaowashauri marais kuhusu mabadiliko ya tabianchi , Richard Muyungi amesema baada ya kupitishwa kwa makubaliano ya mabadiliko ya tabianchi bara la Afrika linafanya uchambuzi wa matokeo ya nini bara hilo limepata.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii Bwana Muyungi amesema baada ya kukamlishwa kwa tahimini kamati hiyo itakutana na mawaziri wa Afrika wa mazingira ili.

(SAUTI MUYUNGI)

Kadhalika mbobezi huyo wa masuala ya tabia nchi amesema bara la Afrika laweza kunufaika kwa mipango ya muda mfupi kufuatia mkataba wa COP 21 ulioafikiwa mjini Paris Ufaransa.

(SAUTI MUYUNGI)