Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vituo vya afya ni mwarobaini wa Fistula: UNFPA Tanzania

Vituo vya afya ni mwarobaini wa Fistula: UNFPA Tanzania

Uwepo wa vituo vya afya ni  moja ya mikakati ya kukabiliana na ugonjwa wa Fistula unaowapata wanawakwe baada ya kujifungua amesema Naibu Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu UNFPA nchini Tanzania Rutasha Fulgence.

Katika mahojiano na idhaa hii kuhusu namna shirika hilo na wadau wanavyoendeleza mapambano dhidi ya Fistula Bwana Fulgence amesema ugonjwa huo huwapata zaidi watu ambao hawafikiwi na huduma za dharura.

Ametaja kile kinachoweza kufanyika ili kuokoka melfu ya wanawake

(SAUTI RUTASHA)