Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR kupokea wakimbizi wengi zaidi wanaorejea nyumbani Burundi 2016

UNHCR kupokea wakimbizi wengi zaidi wanaorejea nyumbani Burundi 2016

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Burundi limesema linaamini mwaka ujao wakimbizi wengi zaidi watarejea nyumbani na hivyo wanatarajia kufungua ofisi mpya ya kuwasaidia.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii, Afisa habari wa UNHCR nchini humo Ntwari Bernard amesema licha ya sintofahamu ya kisiasa lakini mwaka huu wamepokea wakimbizi wanaorejea nyumbani japo idadi ni ndogo.

Amesema wanaporejea shirika hilo hutoa misaada

(SAUTI YA BWANA BERNARD)