Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Masahibu ya wakimbizi wa Syria wakisaka hifadhi Ulaya

Masahibu ya wakimbizi wa Syria wakisaka hifadhi Ulaya

Janga la wakimbizi ni tishio la dunia, dunia sasa imejielekeza kutatua changamoto hii kwa kuangalia mizizi ya mafarakano inayozalisha wahamiji na wakimbizi lukuki.

Ungana na Joseph Msami anayekusimulia madhila wanayokumbana nayo mamilioni ya wakimbizi wa Syria wakati wakisaka hifadhi nchi za ugenini.