Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNESCO yaadhimisha miaka 10 ya mfuko wa urithi wa dunia barani Afrika AWHF

UNESCO yaadhimisha miaka 10 ya mfuko wa urithi wa dunia barani Afrika AWHF

Burudani za Kiafrika, midundo  motomoto na shamrashamra za kila aina zimetamalaki hafla ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa mfuko wa urithi wa dunia barani Afrika AWHF.

Ungana na Asumpta Massoi anayekupeleka katika eneo la utukio lenya burudani ya aina yake iliyoratibiwa na shiriki na Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamadauni, UNESCO.