Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM na Polisi Tanzania wazindua dawati la jinsia kutokomeza ukatili

UM na Polisi Tanzania wazindua dawati la jinsia kutokomeza ukatili

Nchini Tanzania katika kuzingatia siku 16 za kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake, kumefanyika uzinduzi wa dawati jipya la jinsia na watoto kweney kituo cha polisi cha Sitakishaji jijini Dar es salaam.

Uzinduzi huo umefanyika kufuatia ukarabati wa jengo uliofanywa na shirika la umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake, UN-Women kwa ufadhili wa Norway.

Akizungumza kwenye uzinduzi huo mkuu wa UN-Women Tanzania, Anna Collins-Falk amesema..

(sauti ya Anna)

Naye Kamanda wa Polisi mkoa wa Dar es salaam Suleiman Kova ametoa wito kwa jamii kutumia dawati hilo akisema..

(sauti ya Kova)