Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Matarajio ya Afrika Mashariki kutoka kwa COP21

Matarajio ya Afrika Mashariki kutoka kwa COP21

Hatimaye mkutano wa 21 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi umeanza wiki hii huko Paris, Ufarasa! Lengo kubwa ni kuibuka na mkataba ambao ni endelevu, unaoenda na wakati, unaoonyesha mshikamano na ukubalike na pande zote.  Je hali iko vipi hadi sasa? Ni maeneo yapi yenye mvutano? Fuatana na Grace Kaneiya kwenye makala hii ya Wiki.