Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu wenye ulemavu wajumuishwe ili wastawi

Watu wenye ulemavu wajumuishwe ili wastawi

“Ujumuishwaji ni muhimu”ni kauli mbiu iliyobeba maadhimisho ya siku ya kimataifa ya watu wenye ulemavu mwaka huu. Dunia ikiadhimisha siku hiyo, mjini New York kumefanyika tukio maalum.

Joseph Msami anakujuza kilichojiri katika mkutano huo uliowaleta pamoja wadau wa harakati wa watu wenye ulemavu.