Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

COP21 tunataka makubaliano na ahadi thabiti:Tanzania

COP21 tunataka makubaliano na ahadi thabiti:Tanzania

Wakati huo huo, shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira UNEP, na kamati ya Umoja wa Mataifa kuhusu mkataba wa mabadiliko ya tabianchi, UNFCC zimetaka makubaliano thabiti ambayo yatawezesha dunia kuwa pahala bora kwa wote, kwani fursa ni sasa kupitisha makubaliano ya aina hiyo.

Nayo Tanzania kupitia mwakilishi wa Rais kwenye mkutano huo, Balozi Begum Karim Taj amezungumza na Idhaa hii kwa njia ya simu kutoka Ufaransa, na kuelezea matarajio yao.

(Sauti ya Balozi Begum)

Na alipoulizwa iwapo anaona kuna utashi wa kisiasa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa kutoa gesi chafuzi ili kusaidia nchi zinazoendelea Balozi Begum amesema..

(Sauti ya Balozi Begum)