Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa kuboresha mfumo wa Matatu waleta nuru Kenya

Mradi wa kuboresha mfumo wa Matatu waleta nuru Kenya

Nchini Kenya, msongamano wa magari ikiwemo yale ya binafsi na ya umma, umekuwa ni mwiba kwa wasafiri hususan kwenye mji mkuu Nairobi na viunga vyake. Msongamano huo husababisha watu siyo tu kuchelewa makazini, bali pia rabsha za hapa na pale kati ya watoa huduma na wahudumiwa. Lakini miradi ambayo inatekelezwa kwenye miji mikuu ya Ethiopia, Uganda na Kenya inaonekana kuanza kuleta nuru kwenye jiji la Nairobi katika kunusuru hali ya sasa.

Je ni mradi gani huo? Ungana na Assumpta Massoi kwenye makala hii