Skip to main content

UNESCO yalenga mabadiliko ya mafunzo kwa watu wenye ulemavu shuleni

UNESCO yalenga mabadiliko ya mafunzo kwa watu wenye ulemavu shuleni

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO linaendesha warsha maalum ya kutoa mafunzo ya kuboresha mitaala nchini Kenya kwa kushirikiana na serikali  kupitia wizara ya elimu.

Mafunzo hayo yanalenga kuwezesha waundaji wa mifumo ya kidijitali, kusaidia taasisi katika kutumia mifumo hiyo na kuelimisha walimu kuhusu mbinu za kukabiliana na mifumo ya kidijitali katika kuwasilisha mitaala.

Katika maohijano maalum na Idhaa hii msaidizi katika kitengo cha habari na mawasiliano UNESCO, Kenya Shaylor Mwanje amesema mafunzo yanalenga kundi moja ambalo ni

(Sautli ya Shaylor)