Skip to main content

UN-HABITAT watumia msanii kupaza sauti za wasio na sauti Kenya

UN-HABITAT watumia msanii kupaza sauti za wasio na sauti Kenya

Katika mpango wa kuhakikisha kwamba watu wanaoishi mitaa duni wanawakilishwa na kuhusihswa katika maendeleo Shirika la Umoja wa Mataifa la makazi duniani kwa kushirikisha vijana limeungana na msanii Juliani ambaye ni kijana aliyekulia mtaa duni nchini Kenya lakini kubadilisha maisha yake kupitia usanii basi kwa mengi ungana na Grace Kaneiya katika makala ifuatayo.