Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IFAD yakwamua kilimo cha pamba India

IFAD yakwamua kilimo cha pamba India

Licha ya kuwa nchi inayoongoza kwa kilimo cha pamba duniani, ukosefu wa mitaji na sababu nyinginezo umesababisha taifa la India kutonufaika na mazao hayo kwani hayaleti tija kwa wakulima hususani wadogowadogo.

Kutokana na hilo shirika la kimataifa la maendeleo ya kilimo IFAD limeamua kusaidia wakulima kwa kuwapa elimu ya matumizi asilia ya dawa za kuulia wadudu wa mimea  na mbolea. Ungana na Joseph Msami katika  makala ifuatayo.