Skip to main content

Harakati za kurejesha wakimbizi wa Burundi zaendelea :Mbilinyi

Harakati za kurejesha wakimbizi wa Burundi zaendelea :Mbilinyi

Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR nchini Burundi  limeunda mikakati ya kuwapokea wakimbizi kutoka nchi hiyo  ambao wanatarajiwa kuerejea nyumbani baada ya  kutengemaa kwa hali ya utulivu nchini humo.

Na katika kutekeleza hilo Mwakilishi Mkazi wa UNHCR nchini Burundi, Abel Mbilinyi ambaye amehuduhuria mashauriano ya uratibu mjini Geneva, Uswisi ameimbia idhaa hii kuwa  majadiliano na serikali yanaendelea lakini kando ya hayo kamati maalum imeundwa ya kuratibu mchakato huo.

( SAUTI YA BWANA MBILINYI)

Mbali na kamati ya kutafuta suluhisho la kudumu kingine ni.

(SAUTI ya BWANA MBILINYI )

Idadi kubwa ya wakimbizi kutoka Burundi wako nchini Tanzania huku idadi nyingine wakiwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.