Burundi yaadhimisha miaka 70 ya UM

30 Oktoba 2015

Burundi imeadhimisha hii leo miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Katika sherehe iliofanyika mjini Bujumbura, wakuu wa taifa hilo wamesifu mchango wa shirika hilo katika nyanja mbalimbali tangu Burundi kupata uhuru wake mwaka 1962 na kujiunga na Umoja huo. Ujenzi wa amani na vita dhidi ya umasikini vimetajwa kama mchango mkubwa kutoka Umoja wa Mataifa.

Mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadhani Kibuga ametutumia taarifa ifuatayo.

 

♦ Kutembelea ukurasa maalum wa COP26 bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter