Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maadhimisho ya Miaka 70 ya UM

Maadhimisho ya Miaka 70 ya UM

Miaka 70 iliyopita huko Francisco nchini Marekani, mataifa 50 yaliridhia kuundwa kwa Umoja wa Mataifa. Hatua hii ilifikiwa mwishoni mwa vita vikuu vya pili vya dunia ambapo nchi hizo ziliazimia kutokuona tena vita nyingine ya dunia kutokana na madhila yaliyokumba dunia baada ya vita vikuu ya kwanza na ile ya pili ya dunia.

Je miongo Saba tangu kuundwa kwake, chombo hicho kimekuwa na manufaa gani? Changamoto je? Basi ungana na Grace Kaneiya kwenye makala hii.