Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN HABITAT waangaza maisha Kenya kupitai intaneti

UN HABITAT waangaza maisha Kenya kupitai intaneti

Shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN HABITAT kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo linaendesha mradi wa kiutawala ambao unalenga kuinua maisha ya wananchi kwa kutumia teknolojia ya intaneti.

Mradi huu unaotajwa kuwa na mafanikio umeshuhudia mabadiliko katika maendeleo ya kijamii katika upatikanaji wa maji, barabara na huduma nyingine za kijamii. Ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo.