Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi wa Rwanda nchini Uganda waomba hifadhi ng'ambo

Wakimbizi wa Rwanda nchini Uganda waomba hifadhi ng'ambo

Ikiwa ni miongo miwili tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, raia wake waliokimbilia Uganda wanaomba kupewa hifadhi ngambo ama katika nchi yoyote isiyokuwa karibu na Rwanda, kwa ajili ya usatawi na usalama wao. Taarifa kamili na John Kibego.

(Taarifa ya Kibego)

Wanadai kuwa taarifa za mashambulio dhidi ya wenzao ndani na nje ya Rwanda akiwemo Gen. Kayumba Nyamwasa vinawatia hofu kuishi karibu na nchi hiyo.

(Sauti za Wakimbizi)

Alice Litunya, Mkuu wa Ofisi ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) ya Hoima amesema,

(Sauti ya Litunya)

Tunavyongea, kuna wakimbizi wa Rwanda 16,961 nchini Uganda kulingana na UNHCR.