Muziki unaweza kuleta amani nchini:mkimbizi kutoka Syria

Muziki unaweza kuleta amani nchini:mkimbizi kutoka Syria

Mwaka 2011 Alaa ambaye ana umri wa miaka 29 alikimbia mzozo wa Syria na kuelekea Lebanon huku akibeba fidla yake na vitu vingine anavyomiliki.

Wkati wa majira ya kiangazi ambapo  maelfu ya watu wamekimbia kutoka Syria na kuvuka mediterenea ili kufika bara Ulaya, Alaa alibahatika kuwa miongoni mwao. Alaa alipata fursa ya kusoma muziki nchini Italia. Kwa muda wa miezi michache iliyopita amecheza muziki katika matamasha aidha amerekodi muziki wake. Je anasema aje kuhusu muziki kwa ajili ya amani? Basi ungana na Grace Kaneiya katika makala hii.