Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ulinzi dhidi ya watoto wa kike ni kipaumbele chetu: UNFPA

Ulinzi dhidi ya watoto wa kike ni kipaumbele chetu: UNFPA

Kulekea siku ya kimataifa ya mtoto wa kike Oktoba 11, shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu UNFPA nchini Tanzania limesema kazi kubwa ni kuhakikisha ulinzi dhidi ya watoto wa kike kwa kurasimisha sera zitakazowezesha mapambano hayo.

Akifafanua namna UNFPA itakavyoshiriki anasema kwa kushirikiana na wadau ikwamo serikali wamefanya yafuatayo.

(SAUTI FATINA)

Kuhusu mradi wa kuwezesha watoto wa kike Bi Fatina anasema..

(SAUTI FATINA)