Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chama cha ushirika chakwamua wanachama Tanzania

Chama cha ushirika chakwamua wanachama Tanzania

Katika kukabiliana na umasikini ambalo ni lengo la kwanza katika malengo ya maendeleo endelevu au ajenda 2030, wakazi wa Mwanza nchini Tanzania wameanzisha kikundi cha ushirika ili  kujikwamua kiuchumi hatua iliyowasaidia kupiga hatua muhimu za maendeleo.

Humphrey Mgonja wa redio washirika redio SAUT ya Mwanza Tanzania ameandaa makala ainayoeleza namna kikundi hiki kilivyofanikiwa kujikwamua katika umasikini. Ungana naye.