Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Beyonce na Michelle Obama wapigia debe SDGs kwenye tamasha la Global Citizen

Beyonce na Michelle Obama wapigia debe SDGs kwenye tamasha la Global Citizen

Wakati ambapo Malengo ya maendeleo endelevu yameridhiwa na nchi wanachama za Umoja wa Mataifa, wasanii, wanaharakati na viongozi mbalimbali wameshiriki kwenye tamasha la Global Citizen mjini New York Marekani kwa ajili ya kuyapigia debe malengo hayo na kuongeza uelewa wa jamii. Miongoni mwao walikuwa ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon, mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama na waimbaji mbalimbali akiwemo Beyonce.

Ungana na Priscilla Lecomte akitupeleka kwenye eneo la tukio hilo kupitia makala hii..