Skip to main content

Wanawake wanaajirika, wanaweza: Sophia Simba

Wanawake wanaajirika, wanaweza: Sophia Simba

Wanawake wanaajirika, wamesoma na wamepewa nafasi za uongozi, ni kauli ya matumaini ya waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto wa Tanzania Sophia Simba wakati wa mahojiano na Joseph Msami muda mfupi baada y akuhudhuria mkutano kuhusu usawa wa kijinsia mjini New York.

Kwanza anaanza kwa kueleza mkutano huo ambao ni sehamu ya vikao vya ndani vya malengo ya maendeleo endelevu SDGS ulijadili nini hasa..

(SAUTI MAHOJIANO)