Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umuhimu wa Kaya miongoni mwa jamii ya Mijikenda ni dhahiri

Umuhimu wa Kaya miongoni mwa jamii ya Mijikenda ni dhahiri

Jamii ya Mijikenda ni kabila linalopatikana katika pwani ya kenya, na moja ya utambulisho wao ni Kaya- ikiwa misitu ambako wanaishi, na ambayo inatazamwa kama takatifu. Utamaduni huu unajumuisha pia maadili na usimamizi wa jamii. Licha ya umuhimu wake, kudidimia kwa raslimali ya ardhi na ukuaji wa miji ni tishio kwa tamaduni ambazo zinaendana na Kaya, na hivyo kuhatarisha uwiano wa jamii ya mijikenda.

Ni hatua zipi ambazo Umoja wa Mataifa umechukua? Basi ungana na Grace Kaneiya katika makala hii ili kupata taswira kamili.