Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ikiadhimisha siku ya amani, Burundi yatakiwa kurejesha utulivu

Ikiadhimisha siku ya amani, Burundi yatakiwa kurejesha utulivu

Barani Afrika nchini Burundi maadhimisho ya siku ya kimataifa ya amani yamefanyika huku sauti ya uwepo na amani ya kudumu ikipazwa kufuatia machafuko ya kisiasa katika  siku za hivi karibuni.

Mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadhani Kibuga anatupasha kutoka Bujumbura

(TAARIFA YA KIBUGA)