Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kila mtu ana jukumu la kulinda amani: Balozi Mulamula

Kila mtu ana jukumu la kulinda amani: Balozi Mulamula

Nchini Tanzania nako kumefanyika maadhimisho ya siku ya amani duniani yakishirikisha taasisi mbali mbali ikiwemo Umoja wa Mataifa na wadau wake huku vijana wakichagiza nafasi ya kila mmoja kwenye ujenzi wa amani..

Nats..

Mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Balozi Liberata Mulamula ambaye amesema amani inapaswa kulindwa zaidi Tanzania inapoelekea kwenye uchaguzi na kwamba.

(Sauti ya Balozi Mulamula).

Tanzania itakuwa na uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani tarehe 25 mwezi ujao.