Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kituo cha ukeketaji mbadala cha UNFPA chaleta nuru mkoani Mara, Tanzania

Kituo cha ukeketaji mbadala cha UNFPA chaleta nuru mkoani Mara, Tanzania

Ili kuimarisha juhudi za kutokomeza ukeketaji, kuna haja ya kuweka juhudi mahususi na kushirikisha jamii kwa ujumla.

Juhudi hizi zinapaswa kuhimiza elimu na mazungumzo katika jamii ili kumaliza ukeketaji. Ni kwa mantiki hiyo ambapo Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu UNFPA linaendesha kituo cha kutoa mafunzo mbadala ya ukeketaji.

Basi ungana na Grace Kaneiya katika makala ifuatayo kupata uelewa wa ni nini kinafanyika nchini Tanzania.