Skip to main content

WFP yawezesha msaada wa chakula kwa wanafunzi Kenya

WFP yawezesha msaada wa chakula kwa wanafunzi Kenya

Shirika la chakula duniani WFP nchini Kenya limeangaza maisha ya wanafunzi katika shule ya msingi Nazareth iliyoko Kibera Nairobi,  kutokana  msaada wa chakula unaowezesha wanafunzi hao kufanya vyema katika masomo hayo.

Baadhi ya wanafunzi shuleni hapo wamemweleza afisa wa WFP Martin Karimi namna chakula kutoka shirika hilo kinavyosaidia ustawi wa masomo yao kama anavyosema Stanley Oduor..

(SAUTI STANLEY)

Kwa upande wake msaidizi wa Mwalimu mkuu wa shule hiyo Charles Odhiambo anasema..

(SAUTI CHARLES)