Muelekeo Sudan Kusini baada ya kutiwa saini makubaliano ya amani

Muelekeo Sudan Kusini baada ya kutiwa saini makubaliano ya amani

Siku chache baada ya kutiwa saini makubaliano ya amani nchini Sudan Kusini katika mji mkuu Juba, wakazi wa eneo hilo wanaendelea na  kazi zao za kila siku. Baada ya kutiwa saini makubaliano ambayo yalionekana kama ndoto, kuna matumaini kwamba amani itadumu. Basi ungana na Grace Kaneiya katika makala hii inayomulika wakazi nchini humo