Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Asasi za kiraia , jamii havikwepeki katika SDGS : Spika Makinda

Asasi za kiraia , jamii havikwepeki katika SDGS : Spika Makinda

Wakati mkutano wa Nne wa maspika wa mabunge duniani umeingia siku ya pili hii leo jijini New York Marekani, spika wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amesema asasi za kiraia na jamaii kwa ujumla ina nafasi kubwa katika utekelezaji wa mpango wa maendeleo  endelevu SDGS

Katika mahojiano maalum na idhaa hii, spika Makinda amesema licha ya misuguano baina ya sasi za kiraia na serikali lakini

(SAUTI SPIKA MAKINDA)

Kuhusu usawa na ukandamizaji dhidi ya wanawake anasema

(SAUTI SIAK MAKINDA)