Skip to main content

Ngoma inayowaleta pamoja Warundi.

Ngoma inayowaleta pamoja Warundi.

Utamaduni ambao huchukua sehemu kubwa ya maisha huhusisha pia ngoma au muziki mbalimbali ambazo hutumiwa na jamii kwa malengo kadhaa ikiwamo kuwaleta pamoja wanajamii wa makundi tofauti, burudani na hata wakati wa matukio maalum ya jamii husika.

Nchini Burundi utamaduni wa ngoma huunganisha taifa hilo katika nyanja tofauti. Ungana na Grace Kaneiya katika makala ifuatayo.