Skip to main content

Mila kandamizi kikwazo cha ustawi wa wanawake Tanzania

Mila kandamizi kikwazo cha ustawi wa wanawake Tanzania

Mila potofu zinazokandamiza wanawake ni moja ya sababau zinazozuia maendeleo endelevu katika nchi zinazoendelea kwani hupokonya haki za wanawake na kurudisha nyuma kimaendelo.

Mfano wa mila hilo ni ndoa za kimila maarufu mkoani Mara nchini Tanzania ambako wanawake huoa wanwake wengine na kuwatumikisha. Ungana na Martin Nyoni wa redio washirika redio SAUT ya Mwanza Tanzania katika makala ifuatayo.