Skip to main content

Nishati umeme na umuhimu wake kwa mendeleo Kenya

Nishati umeme na umuhimu wake kwa mendeleo Kenya

Nishati ya umeme ni muhimu kwa maendeleo ya jamii ikiwamo huduma za elimu, afya na sekta nyingine. Huduma hii ikikosekana yaweza kusababisha kuchelewa kwa maendeleo hususani katika jamii masikini.

Ungana na Joseph Msami katika makala kuhusu nishati ya umeme ilivyoleta mwangaza kwa wakazi nchini Kenya.