Skip to main content

Ujenzi wa utamaduni kichocheo cha maendeleo

Ujenzi wa utamaduni kichocheo cha maendeleo

Shirika la Umoja wa Mtaifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO linapigia upatu utamaduni kama kichocheo cha maendeleo katika nyanja mbalimbali.

Ungana na John Kibego kwa makala kuhusu ziara ya Wanyambo wa Tanzania katika Ufalme wa Bunyoro Kitara nchini Uganda, katika juhudi za kujenga upya utamaduni wao unaoaminika kuwa na mizizi Bunyoro.

(Makala ya Kibego)