Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Huduma za matibabu kwa wazee zaimarika Tanzania

Huduma za matibabu kwa wazee zaimarika Tanzania

Licha ya kwamba nchi nyingi zimepitisha sera ya matibabu ya bure kwa wazee, huduma  hiyo imekuwa ni changamoto kubwa hususani barani Afrika ambapo wengi wa wazee hutaabika wakati wa kusaka huduma za afya.

Ungana na Tumaini Anatory wa redio washirika Karagwe Fm ya Kagera Tanzania anayeelezea hatua muhimu zilizofikiwa katika kutoa huduma kwa wazee mkoani humo.