Juhudi za kusaka elimu bora miongoni mwa wakimbizi Uganda

Juhudi za kusaka elimu bora miongoni mwa wakimbizi Uganda

Kutokana na huduma za elimu zisizoridhisha wazazi na wanafunzi katika kambi za wakimbizi nchini Uganda, wazazi huhaha kuwapeleka watoto wao katika shule za mijini. John Kibego alitembelea shue emoja inayopendwa na wazazi wa kipato cha chini katika mji wa Hoima na kuzungumuza na baadhi ya wakimbizi waipokuwa wakijiandaa kwenda likizoni. Ungana naye.