Skip to main content

Maelfu ya wakimbizi wateseka wakisaka hifadhi Macedonia

Maelfu ya wakimbizi wateseka wakisaka hifadhi Macedonia

Migogoro imeendelea kusababisha wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji wanaosaka hifadhi. Raia hawa wasIo na hatia hukumbana na kadhia kadhaa wakati wa kusaka hifadhi ikiwamo kuhatarisha usalama wao na jamaa zao na hata afya zao.

Ungana na Joseph Msami anayemulika safari ya maelfu ya wasaka hifadhi kutoka Uturuki wanaokimbilia Macedonia wengi wao wakiwa ni Wasyria .